Pesa aliolipwa floyd myweather,

Pesa aliolipwa floyd myweather,

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
498
Pesa ambayo amelipwa / atakayolipwa floyd myweather baada ya kushinda kwa point katika pambano lenye utata , katika maamuzi dhidi ya manny pac

1. Ni zaidi ya mishahara ya mchezaji wa barcelona (mess) na mchezaji wa real madrid ( christian ronaldo) zote zichanganywe kwa miezi 5 mfululizo
2. Imevuka bajeti ya visiwa kama comoro, na nchi ya sudan kusini, na somali, na imekaribia kabisa bajeti ya zanzibar ya mwaka
3. Ni sawa na thamani ya mbuga ya mikumi na serengeti
4 . Imevuka bajeti ya wizara ya kazi na ajira, na wizara ya michezo na utamaduni ya tanzania
5. Imevuka na pesa wanayolipwa wabunge la tanzania na hata kenya kwa mda wote watakao fanya vikao hii pamoja na posho

Hii ndio pesa aliolipwa floyd my weather kwa siku moja tu,ya jana, pia atakuwa mwana michezo tajiri kuliko wote duniani
 
Muache alipwe kwani hapati bure. Zile ngumi siyo mchezo unaweza poteza uhai au ukapatwa na kiharusi hizo hela zikaishia kwenye matibabu.
 
unaongelea pesa unaishia kutaja taja vitu tu weka figure hapo ubaoni tujue sio unakuwa kama watu wa vibanda umiza this is jamii forums bwana
 
Pesa ambayo amelipwa / atakayolipwa floyd myweather baada ya kushinda kwa point katika pambano lenye utata , katika maamuzi dhidi ya manny pac

1. Ni zaidi ya mishahara ya mchezaji wa barcelona (mess) na mchezaji wa real madrid ( christian ronaldo) zote zichanganywe kwa miezi 5 mfululizo
2. Imevuka bajeti ya visiwa kama comoro, na nchi ya sudan kusini, na somali, na imekaribia kabisa bajeti ya zanzibar ya mwaka
3. Ni sawa na thamani ya mbuga ya mikumi na serengeti
4 . Imevuka bajeti ya wizara ya kazi na ajira, na wizara ya michezo na utamaduni ya tanzania
5. Imevuka na pesa wanayolipwa wabunge la tanzania na hata kenya kwa mda wote watakao fanya vikao hii pamoja na posho

Hii ndio pesa aliolipwa floyd my weather kwa siku moja tu,ya jana, pia atakuwa mwana michezo tajiri kuliko wote duniani
Natamani Matumla angezaliwa America.
 
Inazidi pesa yote aliyoficha zzk uswiss baada ya kupewa mgao na wale aliosema ana majina yao
 
Nimeamini waafrica tumelaaniwa hela za watu tunazipigia mahesabu? je kwenye ile Zari nyeupe part Billion moja na million mia nane! haya tupigie hesabu!
 
Unapanga vichwa vya Scania kuanzia Arusha mpaka Mbagala.
 
Lloyd Mayweather Athari anayoipata kwenye UBONGO ni zaidi ya bajeti ya Tanzania ukijumlisha na mapato ya pambano lake la dkk 36 mnazosema, na sijui kama akipata parasysis hizo pesa zote ukizichanganya zinaweza rejesha maisha yake ya afya yake ya kawaida.
 
Huwezi kujadili mambo ya pesa bila kuweka tarakimu.

Kwa hiyo hii ni ngonjera tu.
 
jaman huko si Africa, kuna mambo mengi sana ambayo ataenda kulipia pamoja na tax.. sio kama analipwa cash hapo na kusepa... fanyeni research jaman
 
Back
Top Bottom