pesa chanzo cha ukimwi??

pesa chanzo cha ukimwi??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
nimekuwa nikivutana na mwenzangu akisema fedha ndio chanzio cha ukimwi
huku nikiamini uzinzi ndio unawaua wengi..ndugu ze tusaidiane kwa hili
 
Sio kweli kuwa pesa ndio chanzo cha ukimwi mbona hata wasio na pesa nao wanapata ukimwi?
 
Pesa sio chanzo cha ukimwi, Pesa ni nyenzo tu, ukiitumia vizuri itafanya mema, ukiitumia vibaya itafanya mabaya. Chanzo cha ukimwi ni tabia ya uzinzi inayowezeshwa na pesa kama nyenzo kwa sehemu mojawapo.
 
Back
Top Bottom