nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Hivi unajua kwamba pesa huenda hata kwa mjinga??Kwa wale mafundi wa kusaka pesa waje hapa
Ikienda haitokaa SANAA π ππ€£Hivi unajua kwamba pesa huenda hata kwa mjinga??
Shauri yako tena hao ukaa na hela kuliko unavyofikiri, matajiri wengi wa nchi maskini ni wajingawajinga tu.Ikienda haitokaa SANAA π ππ€£
#YOLO
Ndio wana drop class then mkiendelea hadi vyuo kisha mkirudi kitaa wana waajiri...πIkienda haitokaa SANAA π ππ€£
#YOLO
Tuwekee na mifano kabisa mkuu mifano halisi let say kwa mf. Useme Lucas mwashambwa.Shauri yako tena hao ukaa na hela kuliko unavyofikiri, matajiri wengi wa nchi maskini ni wajingawajinga tu.
Inasikitisha SANAAANdio wana drop class then mkiendelea hadi vyuo kisha mkirudi kitaa wana waajiri...π
Pesa itafutwe kwani imepotea!? Kinatafutwa kitu kilicho potea tu! Ni kweli pesa hutegwa,na mitego inatakiwa iwe mingi sana!!Kwa wale mafundi wa kusaka pesa waje hapa