Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Nilishawahi badilisha ten likiwa limekatika ivyo ivyo, kwenye benki moja nchiniWakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.View attachment 2716510