Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Aug 13, 2023 #21 Paul dybala said: Wakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.View attachment 2716510 Click to expand... Nilishawahi badilisha ten likiwa limekatika ivyo ivyo, kwenye benki moja nchini
Paul dybala said: Wakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.View attachment 2716510 Click to expand... Nilishawahi badilisha ten likiwa limekatika ivyo ivyo, kwenye benki moja nchini
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Aug 13, 2023 #22 mkorea said: Kaitoe sadaka, Mungu hachagui pesa Click to expand... Ni sawa na kupeleka kuku mwenye kideri ukitegemea upate baraka
mkorea said: Kaitoe sadaka, Mungu hachagui pesa Click to expand... Ni sawa na kupeleka kuku mwenye kideri ukitegemea upate baraka