bigmen
Senior Member
- Jul 3, 2020
- 147
- 325
Pesa inakupa heshima na jina vile vile, lakini pesa hiyo hiyo inaweza kukupa fedhea na kukuzaraulisha bila kujali wadhifa wako, umri, busara zako na elimu yako. Watu wengi wanaeza uliza kivipi pesa ikupe fedhea na kukuzaraulisha...? kwa sababu wao wanaamini kuwa pesa ndio kila kitu lakini sivyo.
Unaeza pata mtu mzima anatumwa kitu kama Condoms na mtoto ambaye anaweza kuwa ata mjukuu wake, hapo kama mtu mzima huyo angekua ana uwezo wa kipesa anatembelea gari asingeweza kutumwa condoms na mtoto sawa na mjukuu wake.
Pesa inaeza kumupa fedhea kwa namna hii kuna watu baada ya kazi mida ya jioni anaamua akapate moja baridi moja moto lkn kwa sababu ana pesa basiii atakunywa kupitiliza kiasinkwamba akajisaidia nguoni tayari hiyo inakua fedhea
Mfano mzuri mwingine ni viongozi wetu na wasanii wanao penda kuwa na ma bodigadi, kweli ubodogadi ni kazi tatizo ni kuwa unaeza pata baba yako ni bodikadi wa diamond ila diamond yupo ndani ya gari baba yako yupo nje anakimbia kwa miguu asiache gari mita moja amevaa mavazi meusi miwani nyeusi jua linamchoma eti kisa ni anatafuta pesa kwa ajili ya familia, wakati hou huo watoto wanataniwa babayako mlinzi inapelekea watoto kukosa furaha na amani ya moyo.
Hii ni story ya kweli "Nina rafiki yangu alisoma o-level Majengo advance alisoma Oldmoshi chuo alisoma chuokikuu cha dodoma, alimaliza chuo mwaka 2018 na alisoma sheria. Tatizo lilianza alipo kuja mtaani na kuanza kutafuta kazi siku moja aliona tangazo la ajira mshahara ni 370000/= akaenda kwenye usahili na akaambiwa bwana kazi umepata kesho njoo ukiwa smart umevaa shati jeupe na tai uingie kazini.
Ajabu alipo fika kesho yake alikuta kazi aliyo isotea kuitafuta ni kuzungusha makarai mtaani na malipo yake ni miatano kwa kila bidhaa atakayo iuza, alipo niomba ushauri nilimshauri asikubali kudhalilishwa kisa anataka kazi atafute kazi ya kufanya hata kuendesha bodaboda na sio kuzunguka na makarai mtaani.
Muhimu ni kupambana ili kufanikisa ndoto zako cha kuchunga ni usikubali kuwa mtumwa... eleweni apo vizuri kuna mtafuta pesa na mtumwa wa pesa...