Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Elon na kaka yake Kimbal wakiwa pembeni ya Rolls Royce ya baba yao kabla hawajaanza safari ya kwenda shule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani potofu hiiElon na kaka yake Kimbal wakiwa pembeni ya Rolls Royce ya baba yao kabla hawajaanza safari ya kwenda shule.
View attachment 3127957
Unaongelea matajiri wa kiafrika ndugu yangu kama ukibahatika kufanikiwa kumbuka inabidi uikuze na kuilea familia yako ije kufanya makubwa kuliko wewe.Imani potofu hii
Asilimia kubwa kabisa ya watoto wa matajiri huishia kuwa watu wa starehe madawa kutapanya mali, ni wachache tu ndiyo hufanikiwa sana na hao huwa ni watu smart sana kwa sababu siyo rahisi
Matajiri 10 wa dunia wa miaka kama 30 iliyopita tunategemea kuwaona watoto wao wakiwa matajiri wakubwa kabisa lakini mambo yako hivyo kweli kama unavyosema?Unaongelea matajiri wa kiafrika ndugu yangu kama ukibahatika kufanikiwa kumbuka inabidi uikuze na kuilea familia yako ije kufanya makubwa kuliko wewe.
JidanganyeImani potofu hii
Asilimia kubwa kabisa ya watoto wa matajiri huishia kuwa watu wa starehe madawa kutapanya mali, ni wachache tu ndiyo hufanikiwa sana na hao huwa ni watu smart sana kwa sababu siyo rahisi
Hata hivyo ni matajiri sio lazima wawe kwenye top tenMatajiri 10 wa dunia wa miaka kama 30 iliyopita tunategemea kuwaona watoto wao wakiwa matajiri wakubwa kabisa lakini mambo yako hivyo kweli kama unavyosema?
Mfano mdogo mtu kama p didy watoto wake wana hali gani mark?
Imani potofu hii
Asilimia kubwa kabisa ya watoto wa matajiri huishia kuwa watu wa starehe madawa kutapanya mali, ni wachache tu ndiyo hufanikiwa sana na hao huwa ni watu smart sana kwa sababu siyo rahisi
Matajiri kumi wa dunia wote hakuna 'self made' ndugu yangu kuanzia Billgates mpaka Jeff Bezos. Hao wote waliwezeshwana wazazi wao mpaka wakafika hapo walipo. Watanzania tukipata hela tunataka tumbato wanawake wote wa mjini. Familia hauna muda nayo ukishalipa ada imeisha. Nyumbani unanunua nyama imeisha hiyo ? Ukishafika miaka ya 60 unashangaa watoto mbona hawaoi hawana mafanikio. Wajukuu unawasomesha wewe unajiuliza ulikosea wapi ? Kumbe ulikula bata ujana na sasa unateseka ukiwa na hela. Omba Mungu sana usije ukateseka ukiwa na hela maana hauna mtu wa kumuelezea akakuelewa.Matajiri 10 wa dunia wa miaka kama 30 iliyopita tunategemea kuwaona watoto wao wakiwa matajiri wakubwa kabisa lakini mambo yako hivyo kweli kama unavyosema?
Mfano mdogo mtu kama p didy watoto wake wana hali gani mark?