Pesa imekuwa ngumu

Pesa imekuwa ngumu

jamanii hivi napataje ela bila kufanya kazi ? kama kuna kuna njia mnipange na mimi nitusue
Kazi zipo..
JamiiForums-1790843867.jpg
 
Hela sio ngumu lakini fikra zako ndio zinakuambia hela ni ngumu, na kama ukiona kitu ni kigumu basi kinakupa maelekezo.
 
Back
Top Bottom