Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Aisee!!Kazi zipo..View attachment 2500048
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!Kazi zipo..View attachment 2500048
Hata yenyewe kazi tutampelekea moto mwanzo mwishoLabda wakubandue
Member since 2022 Oct 7
Post 1
Ela imekuwa ngumu
Comment ni kwenye uzi mmoja toka ajiunge JF tena ndio uzi wake wa leo.
Mleta uzi hakuwa na cha kuongea tokea ajiunge hivyo leo ikabidi ajifosi nae aonekane ni mwana familia wa JF.
Babe mwenyewe lazima uilipie😂😂😂Hela ya bila kazi labda akupe babe wako.
Lazima uitolee kijasho 🤣Babe mwenyewe lazima uilipie😂😂😂
Daaah nimecheka sana we mzee unavituko sanaHuyu ni kumpa kazi ya kitandani tu analipwa huku anainjoi wakati wa kazi
Cheki na Freemasons.jamanii hivi napataje ela bila kufanya kazi ? kama kuna kuna njia mnipange na mimi nitusue
Haki yake kuandika apendacho.Member since 2022 Oct 7