Pesa ina kaujeuri fulani hivi

Pesa ina kaujeuri fulani hivi

Nawe ukaenda au mama ndio

Alisema ole wake nione mtu kapeleka pua yake na mkta vidole
"nione li mtu limepeleka tumakalio twake pale eti naenda kuangalia TV nitakachokufanyaaa" alisikika mama mwenye hasira akiwa kashika mwiko wa chakula huku akitukata jicho kali sana😂😂😂😂
 
"nione li mtu limepeleka tumakalio twake pale eti naenda kuangalia TV nitakachokufanyaaa" alisikika mama mwenye hasira akiwa kashika mwiko wa chakula huku akitukata jicho kali sana😂😂😂😂
Ila wamama wazaman wametufundisha kujishikilia sana ila hawa sasaivi
 
Pesa bwana , nikijua mfukoni niko poa nakuwaga serious hata ndani sitoki bila kuoga hata Kama naenda klabuni kunywa ulanzi ,alafu naongea kwa vituo na staha kubwa ,Sasa nikiwa Sina hela hata ukiambiwa huyu ni mwajiriwa wa serikali lazima ukatae tu
PESA/ FEDHA Ina mengi wengine wakiwa nayo wanakua Kama Wenda wazimu wakifulia ndio akili zinarudi..

😊 Mtu anaweza ku google mpaka madhara ya kula UGALI usiku..
 
Back
Top Bottom