Pesa ina kaujeuri fulani hivi

Pesa ina kaujeuri fulani hivi

Ninavyo juaga mimi ni kwamba watoto ndio wanakuwaga hawana hela, kwa sababu ; 👇👇👇👇

Being broke is childish.

I am a grown up man..

Watanzania acheni utoto. Kutokuwa na hela ni utoto,period.
 
Dah huu Uzi ni kama ubaki milele hv uwe unadondosha vijitabia vya wenye pesa na hawaelewi maana ya pesa. Maana anayejielewa na kuielewa pesa hawezi Fanya hvyo.

Kuna Moja Kali hiyo mmama alikuwa anakamua TUI la Nazi mara mbili au tatu halafu anatunza Yale machicha anamwambia jirani yake weka maji ukamue unaweza pata chochote sijakamua Sana.😂😂
 
Dah huu Uzi ni kama ubaki milele hv uwe unadondosha vijitabia vya wenye pesa na hawaelewi maana ya pesa. Maana anayejielewa na kuielewa pesa hawezi Fanya hvyo.

Kuna Moja Kali hiyo mmama alikuwa anakamua TUI la Nazi mara mbili au tatu halafu anatunza Yale machicha anamwambia jirani yake weka maji ukamue unaweza pata chochote sijakamua Sana.
Aiseee, mara nyngi huwa nawaheshmu watu wazima nikidhani wana hekima lakin kumbe na wao ni wapuuz tu kama huyo mama uliyemtaja.
 
Hasira kila kitu kinakua kero hata mtu akikuangalia tu unakereka 🤣🤣🤣🤣

Kukosa hela ni kubaya sana
All in all,
Ukiwa mkubwa na hauna pesa Basi jiandae kudharaulika..

Yaan
Hata kwenye kutambulishwa tuu unagundua kabisa na mbaya zaidi jiandae kuto shirikishwa kwenye kufanya maamuzi ya UKOO

Utajikuta unapewa poor treatment Mimi ndio maana nauchukiaga UMASKINI/ DHIKI/ NJAA/ SHIDA na nimepambana/napambana/Kuukimbiza kuukimbiza kilometer nyingi sanaaa
 
Back
Top Bottom