Pesa inavyodhalilisha utu wa Dada zetu

Pesa inavyodhalilisha utu wa Dada zetu

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Nimekumbuka kisa kilichotokea mwaka 2018 maeneo ya Kinondoni kwenye Bar ya Uhuru Peak. Ilikuwa hivi siku hiyo nilikuwa na jamaa yangu maeneo yale tunapata kitu roho inapenda ilikuwa mida ya saa 8 na dk zake usiku.

Ghafla upande wa pili tukamuona Dada Poa akiburutwa na jamaa huku akitukanwa matusi yote. Mimi mwenyewe Mafia yaani ule hela yangu halafu unataka kuniibia?

Yule Dada poa akaburuzwa mpaka nyuma ya gari usawa wa tairi. Jamaa akaanza kumkojolea mkojo halafu wazee wa tungi kama mnavyojua mkojo wa pombe unavyokua mwingi yule Dada alikojolewa zaidi ya mkojo lita moja na akaachwa palepale amelowa mkojo kichwani mpaka mabegani.

Nimeamua kuandika hili tukio ili kuwakumbusha tuwe tunaridhika na kile tunachopata. Yaani Ofa upewe na unataka na kumuibia aliyekupa ofa?

Ni hayo tu.
 
Huyo ni mwizi tu mkuu bila kujali jinsia yake, haikuwa na haja ya kuwajumuisha na wadada wengine, wapo wanaume wengi tu wenye hii tabia...kuwasilisha mada kwa dizaini hii ni kama una inferiority kwa wadada na unataka tushirikiane nawe kuwapondea
 
Nimekumbuka kisa kilichotokea mwaka 2018 maeneo ya Kinondoni kwenye Bar ya Uhuru Peak. Ilikuwa hivi siku hiyo nilikuwa na jamaa yangu maeneo yale tunapata kitu roho inapenda ilikuwa mida ya saa 8 na dk zake usiku. Ghafla upande wa pili tukamuona Dada Poa akiburutwa na jamaa huku akitukanwa matusi yote. Jamaa alikuwa akimwambia We Ku*****.... Ko, Malaya mkubwa we na mengine mengi. Mimi mwenyewe Mafia yaani ule hela yangu halafu unataka kuniibia?
Yule Dada poa akaburuzwa mpaka nyuma ya gari usawa wa tairi. Jamaa akaanza kumkojolea mkojo halafu wazee wa tungi kama mnavyojua mkojo wa pombe unavyokua mwingi yule Dada alikojolewa zaidi ya mkojo lita moja na akaachwa pale pale amelowa mkojo kichwani mpaka mabegani. Nimeamua kuandika hili tukio ili kuwakumbusha tuwe tunaridhika na kile tunachopata. Yaani Ofa upewe na unataka na kumuibia aliyekupa ofa?
#Ni hayo tu.
Duh ni hatari
 
Hao madada poa licha ya kufanya umalaya lakin pia kazi yao kubwa ni wizi Kuna mlugaluga mmoja huko kahama alipiga hela machimboni ikabidi afunge safari kuelekea Dar lengo ni kwenda kununua gari mfano wa gari alilokua nalo boss wake wa zamani(wasukuma wanapenda kuigana mmoja akiwa na harrier wote wananunua harrier)

Alichokosea jamaa alibeba hela kwenye begi kama nguo zaidi ya 25M+ alivyofika mjini akajichanganya kwa malaya alipigwa hela wakati kalala usiku
Kulivyokucha akampigia simu mwenzake huko machimboni amtumie nauli ya kurudi kahama
 
Jamaa fala hao watu unatakiwa ubebe hela kamili
 
hela usipokuwa na subira nayo ukataka ya watu wengine, hata wakaka inawaumbua, utakutana na kaka poa pia
wengi shida ni hela na siyo homon
 
Back
Top Bottom