Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Pesa kidogo nyeto unaipakia vumbi la kongoPesa kidogo tu umeanza kusema tecno siyo simu ila ni kitunza laini.. [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dongo kwa jiwePesa kidogo tu wananchi unawaita wanyonge
Hahaha we jamaa kweli ni Uzalendo InstallerPesa kidogo tu wananchi unawaita wanyonge
We mkuu bana😀😀
Nakuonaga ...n mm jiran APA....😁Haha,
Unanisema, kuna zulia but still huwa siwezi pekua ndani..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] pesa kidogo umeacha kusoma biblia ya kiswahili
pesa kidogo ushaanza kwenda joggingPesa kidogo tu usha badilisha meno unaweka ya dhahabu[emoji849][emoji849]