Pesa kidogo tu umeanza kunywa K-Vant baridiPesa kidogo tu umeanza kula matunda
pesa kidogo daladala umeanza kuita public transport
pesa kidogo chumba na sebule umeanza kuita appartment
pesa kidogo choo umeanza kuita washroom
pesa kidogo mafua umeanza kuita flu
pesa kidogo ushaanza kumuita baba ako mshua
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]pesa kidogo ushaanza kuita chips french fries
[emoji16][emoji16] mkuu unamsema jiwePesa kidogo tu wananchi unawaita wanyonge
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umepata pesa kidogo tu umeanza kulala na pajama [emoji38]
Hapana watu wengi wakichangia mijadala utawasikia..sera hazigusi wanyonge...[emoji16][emoji16] mkuu unamsema jiwe
[emoji16][emoji16] nimtag?Pesa kidogo tuu umeng'oa jukwaa pendwa. [emoji2]