Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16] pesa kidogo umeacha kusoma biblia ya kiswahiliPesa kidogo tu umeanza kusema tecno siyo simu ila ni kitunza laini.. [emoji23]
Pesa kidogo tu unaanza kumuita Mungu 'Olmairry Gad'[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16] pesa kidogo umeacha kusoma biblia ya kiswahili
Haha ase haka kamsemo nimekazoea sanaPesa kidogo rafiki zako umeanza kutuita “kijana”
Ebwana eeh. Hawa wapo wengi hawaPesa kidogo rafiki zako umeanza kutuita “kijana”
Pesa kidogo tu mama unaanza kumuita mamushka Hadi mamako anaanza kuhisi wewe sio mwanaepesa kidogo tu umeanza kuona si ambao atuna kazi wazembe
[emoji16][emoji16][emoji16]Pesa kidogo rafiki zako umeanza kutuita “kijana”
[emoji16][emoji16][emoji16] jamaniPesa kidogo tu unaanza kutumia toilet paper badala ya gunzi
Haha jamaniPesa kidogo unaanza kupaka matako mafuta[emoji38][emoji38][emoji38]
Pesa kidogo unaanza kuita kachumbari salad