Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Pesa kidogo tu umeenda kuishi nje ya mji ukijidai hutaki kelele za uswahilini.Pesa kidogo huchangii thread za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa kidogo tu umeenda kuishi nje ya mji ukijidai hutaki kelele za uswahilini.Pesa kidogo huchangii thread za watu
Yenye uzito Tani 1
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pesa kidogo tu unabadiisha namba ya simu
[emoji35][emoji35]
[emoji23] Mkuu kuna watu wakipata pesa wanabadilisha namba, wanajikuta kina Bill Gates hawataki circle za kina kajambanani wenyewe wanasema wanataka watu wenye vision[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] hatari sana boss[emoji23] Mkuu kuna watu wakipata pesa wanabadilisha namba, wanajikuta kina Bill Gates hawataki circle za kina kajambanani wenyewe wanasema wanataka watu wenye vision
Tukifuata mikumbo we unapata hasara gani? Pita hiviNdio nini sasa..
Watanzania muache kufuata mikumbo!
Hao watu hua nawashangaa sana, yani mimi niende hotelini nijikute mzungu niache chakula labda niwe nimelogwa [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hao watu hua nawashangaa sana, yani mimi niende hotelini nijikute mzungu niache chakula labda niwe nimelogwa [emoji23]
Mbali na hapo napiga macho huku na huko nikiona watu hawanioni nakombesha sahani mpaka tone la mwisho.
Mfano unakuta hotelini soda moja buku 5 halafu ka mtu kanajikuta kazungu kanakunywa kanaacha nusu, ujinga kabisa [emoji23]
Acha ushamba wewe.. Hapo ndio unajiona unaenda na wakaati kuanzisha uzi kama huu, sio?Tukifuata mikumbo we unapata hasara gani? Pita hivi
Bwana weee nipishe mimi kwani umeitwa hapa? OvyoooAcha ushamba wewe.. Hapo ndio unajiona unaenda na wakaati kuanzisha uzi kama huu, sio?
Mtoto wa kike kitulize, mwanamke hulka BibiTukifuata mikumbo we unapata hasara gani? Pita hivi
Hajapata dawa huyo, huwezi mkuu ukampitia ile duplicate ya maana akalala vizuri?Acha ushamba wewe.. Hapo ndio unajiona unaenda na wakaati kuanzisha uzi kama huu, sio?
Pesa kidogo tu uko field ukipigiwa cm unasema upo kazini