#1. Je ulifanya malipo kwa njia gani? - Kimsingi njia uliyotumia kufanya malipo ndio hiyo hiyo auto fedha inapaswa kurejeshwa sio manual kama anavyosema.seller wa Aliexpress anahitaji kunirefund pesa sasa ameniuliza anitumie kwa njia gani?
- Iwapo kama ulifanya malipo kupitia paypal kwenye web husika.Maana ameniuliza kama nina Paypal bado sijamjibu kwasababu niliskia Paypal kwa Tz unaweza ukatuma tu na sio kupokea.