Pesa kutoka CHINA

Pesa kutoka CHINA

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Wadau, seller wa Aliexpress anahitaji kunirefund pesa sasa ameniuliza anitumie kwa njia gani?
Naombeni kwa anayejua anitajie njia rahisi ya kupokea pesa kutokea China.

Maana ameniuliza kama nina Paypal bado sijamjibu kwasababu niliskia Paypal kwa Tz unaweza ukatuma tu na sio kupokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana ameniuliza kama nina Paypal bado sijamjibu kwasababu niliskia Paypal kwa Tz unaweza ukatuma tu na sio kupokea.
- Iwapo kama ulifanya malipo kupitia paypal kwenye web husika.
- Hii ina maana
a] Fedha ilitokea benki / kwenye card yako hivyo refund ikifanyika fedha itakufikia
b] Paypal ni njia ya kupitiashia fedha to and fro - Ndio matumizi ya paypal yanayokubalika kwa Tz., ila kwa swala la kupokea tu - accounts za watanzania hazina uwezo huo.
 
Stress tupu hapa Mzee stunter oda zangu nne zinaonekan zipo dar Posta lakin azitumwi mkoan ishu ni korona au ?!??? Niliagiza before corona wiki ya tatu mizgo ipo in transit corona iyo ajabu imefka aitumwi kabla ya hii ya nyuma yote niliipata sasa corona du nasubri kudra za mungu tu kupata nikajichanganya tar 12 mwez huu nikalipa $96
IMG_20200221_230717_402.JPG
IMG_20200221_231056_056.JPG
simu 2 za leagoo m9 du ukatua ujumbe (thanks for your payments but there is delay of shipping and arrived due to corona epidemic ohoooooops simu sio zangu pesa imekwenda za broo mmoja ivi malipo nimefanya through mpesa master card japo track zinaonesha in transit but naskia ndege azitok najiuliza ipoje hapa ? na kama zikija nais Posta wataogopa kugusa aiseeee mungu nisimamie MATESO MATESO ILI NALO LITAPITA.nashaur ivi sasa ni bora usinunue janga liishe kwanza.
 
Back
Top Bottom