Pesa kwanza ushabiki baadae

Pesa kwanza ushabiki baadae

Deal28

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
96
Reaction score
114
Leo mnyama yuko uwanjani na Mtibwa sugar kule Manungu complex, msimu huu Mtibwa amekuwa akipata ushindi mwingi katika uwanja wa nyumbani so matokeo yoyote yanaweza kutokea, ndio maana leo nataka nikimbie kuweka ile nani anashinda au kudraw naona kutanikosesha pesa , sasa wapi kuna options nyingine tofauti na hizi? kama option za umiliki wa mpira maana nauhakika simba atamiliki.
 
Minia
 
Back
Top Bottom