Dearbest Member Joined Aug 24, 2014 Posts 37 Reaction score 10 Dec 27, 2014 #1 ela mbovu zinaendaga wapi na zinaenda fanyiwa nini
P payton JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 429 Reaction score 265 Dec 27, 2014 #2 Zinachomwa moto
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Dec 27, 2014 #3 Kiberiti...
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,361 Reaction score 2,378 Dec 28, 2014 #4 Noti mbovu huchomwa kwenye matanuru kama ya cement au nondo chini ya ulinzi mkali na huwa zimetobolewa matundu kwanza Sarafu hurudishwa kwenye mzunguko wa uyeyushaji kwa matumizi mengine na hata. Kutengenezewa sarafu mpya!!
Noti mbovu huchomwa kwenye matanuru kama ya cement au nondo chini ya ulinzi mkali na huwa zimetobolewa matundu kwanza Sarafu hurudishwa kwenye mzunguko wa uyeyushaji kwa matumizi mengine na hata. Kutengenezewa sarafu mpya!!