Pesa mbovu zinaendaga wapi na zinaenda fanyiwa nini

Pesa mbovu zinaendaga wapi na zinaenda fanyiwa nini

Noti mbovu huchomwa kwenye matanuru kama ya cement au nondo chini ya ulinzi mkali na huwa zimetobolewa matundu kwanza
Sarafu hurudishwa kwenye mzunguko wa uyeyushaji kwa matumizi mengine na hata. Kutengenezewa sarafu mpya!!
 
Back
Top Bottom