kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Ukiwa na hela siku inaweza isha hujala chochote na huisi njaaa...
Ukiwa na hela unaweza muita dem yoyote mkali kitaa kwa kujiamini na ukatoa madini yako kidogo tu pesa itamaliza kila kitu.
Ukiwa na vijisenti mipango mingi huwezi ukakaa mahali mda wote simu zinaingia za mishe mishe mjini hapa.
Ukiwa na hela tu ni raha sana kosa hela sasa unaweza ukawa unaamka asubuhi unazurula mtaani kama kuku wa kienyeji bila mwelekeo wowote..
Tutafute mpunga,pesa,hela,madini,money,mkwanja.