Pre GE2025 Pesa ndizo zitakazowafarakanisha viongozi waandamizi wa CHADEMA na kuisambaratisha kabisa kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mufti, sijui una miaka mingapi ila nina uhakika utaiacha hapa duniani Chadema.
Gentleman,
kwamba kuna mtu aliwahi kusema ataenda kuR.I.P na chadema au una stress tu za kiwango cha juu sana πŸ’
 
What the pe What the pessimistic thought!!
 
Ni vizur kuipigania chadema hongera sana.
 

Unaonekana hujui chochote kabisa kinachohusiana na Mfuko wa Rais na matumizi yake .

Hivi unajua matimizi ya mkuu wa nchi kwa siku moja ni makubwa kuliko karuzuku ka mwezi mzima ka Chadema .

Uliwahi kusikia Fungu la Ikulu lilijadiliwa Bungeni wewe.

Yaani hivyo vitone vya Chadema vinakutoa roho lakini hujawahi kuuliza pesa za kusafirisha wapambe na Machawa kwenda Dubai kushangaa bandari yao ili kuja kuwauzia ya kwetu.

Vijana wa kizazi hiki uwezo wana uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Sijui tutakuja kupata watu wenye uwezo wa kuandika makala kwenye magazeti ya kiuchunguzi kama akina Jenerali Ulimwengu au kutunga vitabu kama Julius Kambarage Nyerere na hata akina Shaaban Robert na wengine .

Yaani kijana wa leo msomi wa digrii mbili lakini chawa wa mtu asiye hata na diploma .

Tutajenga taifa la wachuuzi na manamba na Machawa wa kupamba watawala .

Aibu kubwa sana
 
Relax gentleman,
kisha jadili hoja kwa mifano halisi ambayo kiukweli hakuna na haipo kabisa,

hawa vibaka na majambazi matapeli wanakwenda kuisambaratisha chadema wakigombania hizo pesa wanazokusanya kitapeli kwa wananchi πŸ’
 
Ni vizur kuipigania chadema hongera sana.
Kazi yangu ni moja tu gentleman,
ueleza ukweli na kuwafungua maskio yenu dhidi ya kitakachotokea chadema baada ya utapeli huu wa pesa za watu maskini unaoendelea πŸ’
 
🌈 Hili ni dua la kuku.
 
🌈 Hili ni dua la kuku.
Gentleman,
kwamba vijana wa kiume ndani ya chama hicho watakaokua tayari kuolewa ng'ambo watapatiwa kazi huko huko right?πŸ’
 
at least you have useless intellectual thinking gentleman πŸ’
Unajenga hoja juu ya misingi ya pressuppositions?

What an absurd and fallacious argument!!

Hii ni sawa na ramli(chonganishi)😁
 
Gentleman,
kwamba vijana wa kiume ndani ya chama hicho watakaokua tayari kuolewa ng'ambo watapatiwa kazi huko huko right?πŸ’
Nasema hivi, tulia 🫡🌈
 
Relax gentleman,
kisha jadili hoja kwa mifano halisi ambayo kiukweli hakuna na haipo kabisa,

hawa vibaka na majambazi matapeli wanakwenda kuisambaratisha chadema wakigombania hizo pesa wanazokusanya kitapeli kwa wananchi πŸ’


CAG atatuambia mwakani .

Lakini pia kuwadanganya wananchi kuwa kuna uchaguzi ni kuwatafutia kifo watu hata kama ni wawili lakini tumechoka kuona mashetani wa CCM wakiua watu wanaotumia haki yao kupiga na kupigiwa kura .

Sasa ili kuepusha maafa ni bora Chadema wakae pembeni au kuuawa wakipinga uhuni wakati wa uchaguzi lakini kwa sheria hizi ni bora kabisa wauaji CCM waendelee wenyewe.
Fedha za dhulma na madaraka nje ya demokrasia yanawapa CCM kiburi .

Lisu ni mtu asiyependa kufanya makosa ya jinai ndio maana hataki kujihusisha na uchaguzi wenye makosa mengi ya jinai .
Mkoloni alikua ni bora mara milioni kuliko hii CCM ya wakoloni kutoka Zanzibar na omani.
CCM wapo kishari sana ndio maana wanafurahia kuona damu za watu zikimwagwa .

Nabii Issah bim Mariam au Yesu aliwahi kusema Msishindane na mtu mwovu.
 
Ilikuwa hawezi kuchangisha fedha...

Baadae chama kitamfia siku akiingia ofisini tu...

Sasa ni mapesa ni mengi, ndiyo yatawafarakanisha....β—β—πŸ§Ÿβ€β™‚πŸ§Ÿβ€β™‚πŸ‘©πŸ»β€βœˆοΈπŸšΆπŸ»πŸšΆπŸ»πŸšΆπŸ»πŸšΆπŸ»

Wachawi wa CCM safari mpaka mtaishiwa maneno ya kuandika, wa - nyaning'wee
 
akili za kuambiwa changanya na zako gentleman πŸ’
 
Yaani unamkabidhi Lemma kamati ya fedha wakati historia yake alikuwa mwizi qa magari
 
Kazi yangu ni moja tu gentleman,
ueleza ukweli na kuwafungua maskio yenu dhidi ya kitakachotokea chadema baada ya utapeli huu wa pesa za watu maskini unaoendelea πŸ’
Hakuna ukweli unaozungumza labda mipasho.
 
--Kuna kiongozi mmoja wa chadema naona leo siku ya pili analewa #BWAX, kweli kazi imekamilika na zoezi limefaulu kwa 100.9%---
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…