Pesa ni sabuni ya roho!

Jiwe? Halipangiwi na haliambiwi cha kufanya πŸ˜‚
 
Hii ndio maana halisi ya maisha, unaanza ukiwa huna uhakika na uendako mara paaah unashangaa unabadikika ghafla!!

Vijana ambao tumekulia katika nyakati hizi ambazo changamoto ni kubwa hatuna budi KUTOKATA TAMAA, TUZIDI KUAMINI KWAMBA IPO SIKU MOJA HADITHI ITABADILIKA!

Tuzidi kuomba huku tukivumilia maisha tunayopitoa huenda u katika shida na matatizo makubwa lakini ipo nguvu kubwa itakatokuvusha hapo ulipo,Vumilia huku ukimuomba Mungu wako bila kuchoka hakika utafanikiwa!

Life is a circle, you commerce from zero to hero,oh LORD help us, we want to go there upwards, we bow down before you,release us from the Covid_19 pandemic!
 
Umeandika cha maana ila Hakuna uhusiano kati ya hizo pictures za Magu na hali ngumu ya kiuchumi

That's was fashion for that time, tena hapo ni mbunge, wamepose nje ya ukumbi wa Pius Msekwa, nyingine yupo jengo la white house Dodoma CCM HQ, sasa sijui mbunge na hali ngumu ya kimaisha vina uhusiano upi.
 
Papa Lohonela!
Hahaa! πŸ˜€ Ila utani wa swag zake kando, anastahili heshima huyu mzee, tena sana. Hata kama mara nyingi huwa sikubaliani na BAADHI ya sera zake lakini on a personal level, respect to him! Kupambana kwa staili hiyo kama mwanaume kamili hadi akatimiza ndoto zake na akafika kwenye siti ya mbele kabisa ni jambo la kuigwa. Wapambanaji wenzake kama Ruto wamepotea njia na wakapoteza focus mapema kama safari bado haijaifikia hata nusu.
 
Wabunge wenu wameparara sana.
 
I agree. Ruto was too ambitious. He showed his cards too early. Angejifanya mjinga hadi mwisho wa 2021 ndio aanze kufanya campaign.
 
Kenya needs a total overhaul... otherwise the poor will forever be poor.Uhuru saccesion is in hands of Gidion moi na William Ruto....no nothing else.No room for ordinary man
Self made man & politician. Sio kama Kenya eti lazima utoke kwa ukoo wa Kenyatta, Moi ama odinga. Najua mikenya ina miss kibaki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…