Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa Lohonela!🤣🤣Papaa Fololoo. [emoji1]
Hahaa! 😀 Ila utani wa swag zake kando, anastahili heshima huyu mzee, tena sana. Hata kama mara nyingi huwa sikubaliani na BAADHI ya sera zake lakini on a personal level, respect to him! Kupambana kwa staili hiyo kama mwanaume kamili hadi akatimiza ndoto zake na akafika kwenye siti ya mbele kabisa ni jambo la kuigwa. Wapambanaji wenzake kama Ruto wamepotea njia na wakapoteza focus mapema kama safari bado haijaifikia hata nusu.Papa Lohonela!
Wabunge wenu wameparara sana.Umeandika cha maana ila Hakuna uhusiano kati ya hizo pictures za Magu na hali ngumu ya kiuchumi
That's was fashion for that time, tena hapo ni mbunge, wamepose nje ya ukumbi wa Pius Msekwa, nyingine yupo jengo la white house Dodoma CCM HQ, sasa sijui mbunge na hali ngumu ya kimaisha vina uhusiano upi.
I agree. Ruto was too ambitious. He showed his cards too early. Angejifanya mjinga hadi mwisho wa 2021 ndio aanze kufanya campaign.Hahaa! 😀 Ila utani wa swag zake kando, anastahili heshima huyu mzee, tena sana. Hata kama mara nyingi huwa sikubaliani na BAADHI ya sera zake lakini on a personal level, respect to him! Kupambana kwa staili hiyo kama mwanaume kamili hadi akatimiza ndoto zake na akafika kwenye siti ya mbele kabisa ni jambo la kuigwa. Wapambanaji wenzake kama Ruto wamepotea njia na wakapoteza focus mapema kama safari bado haijaifikia hata nusu.
Self made man & politician. Sio kama Kenya eti lazima utoke kwa ukoo wa Kenyatta, Moi ama odinga. Najua mikenya ina miss kibaki sana