Pesa Posa/Money Matters

Nakubaliana na wewe kuwa pesa muhimu sana hasa kwa mwanamme kuwa nazo...na ile "kutosha" iwe kwa kiwango cha mwanamke

acha mambo ya ulinganifu (relativity) wewe, pesa ni pesa tu na hakuna mwanamke atakayesema eti pesa zimetosha hivyo dawa ni kuwa nazo nyingi ili penzi liendesheke: malazi, mavazi, maakuli, matibabu, matembezi, masomo n.k.
 
acha mambo ya ulinganifu (relativity) wewe, pesa ni pesa tu na hakuna mwanamke atakayesema eti pesa zimetosha hivyo dawa ni kuwa nazo nyingi ili penzi liendesheke: malazi, mavazi, maakuli, matibabu, matembezi, masomo n.k.

Wewe unazo za kutosha?
 
Aaaah kumbe najua kama huna pesa? Hebu nkumbushe :A S-confused1:

[TABLE="width: 90%, align: center"]
[TR]
[TD]Pesa zasumbua roho yangu[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pesa zasumbua roho yangu[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nami nifanyeje, kijana mwenzio,[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ningekuoa Malaika.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nashindwa na mali sina, we,[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ningekuoa Malaika.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Siku nikijua Companero ana pesa za kutosha tu nalitoa hili bandiko, ili utumize ahadi yako. Usije ukaniruka kimanga tu


*Walimwengu naomba muweke hansadi ya hili bandiko la Companero
 
Hapa umoja wa wanawake unatetea kwamba pesa ndio kila kitu halafu baadae utasikia emotional talks kama ''the guy is very busy always travelling or he's always working late yaani hanijali kabisa anajali hela tu.Anadhani nimetoka kwetu kufuata hela zake hapa?'' Make up your minds ladies.Kwa nini mnashindwa kujua mnachokitaka maishani?
Relationships/marriage sio mkombozi wa kuwatoa kwenye umasikini au stepping stone ya kuyafikia maisha ya hali ya juu.Too much money has never been enough money but i've seen enough love being more than enough.Pesa inakidhi mahitaji ya kila siku tu lakini ukiiweka kama ndio kigezo kikubwa katika mapenzi then imekula kwenu wadada.
Hoja ya kwamba bila pesa mapenzi hayapo ni kama kukimbia kwenye treadmill hata uwe na mbio(pesa) vipi bado utabaki palepale(mwanzoni utaenda shopping saaaana lakini mwishowe na furaha ya kwenda shopping itaisha then u'll end up being old bitter rich ladies).
Mfano:
Hivi karibuni kuna trend ya wadada zetu wenye upeo mdogo kukimbilia kuolewa na wanaume kutoka nchi za nje ili tu kuukwaa utajiri(wapo wenye nia njema ya kuishi) lakini some wanaonekana walivyo desperate wengine wakiomba hata waume zao wafe haraka.
Trust me kuna wanawake wanaonana na waume zao kwa appointment mtu yuko busy hana muda wa kuwa na wewe kila siku.Amekuachia pesa kibao kwenye safe na combination amekupa halafu umepewa na dereva/bodyguard wa kukupeleka kokote 24/7,nyumba ina CCTV mpaka chooni.
Hapo uko nchi kama Germany(may be Liepzig) utaishia kuchat kwenye mitandao ya kijamii mpaka ukome hakuna shosti wa kupiga nae stori kila mtu kwenye jumba lake(social life kama ya Bongo ilishakufa muda mreeefu plus na hiyo rangi ya ngozi yako ndio kabisa).Utamhonga huyo dereva japo akutimizie mahitaji yako ya kimwili na akiwa mwadilifu or just another Nazi freak atakutolea nje.Utatamani urudi kwenu Manzese kwa mfuga mbwa angalau ulikuwa unaenjoy na mpenzi wako John au Abbasi japokuwa kipato chake ni cha kawaida.

NB:I got my life all figured out sio Warren Buffet na sio fukara.Kama hiyo haitoshi then to h*ll with p**cho-materialistic ladies.Thats my gospel,thats whats up..
 
Hahahaa unaniangusha na wewe...

Kwani hazitoshi kununua apartment masaki au o'bey? (kwa kianzio tu)
 
Sasa mbona NN aliniambiaga kuna I20 za kufoji, nisije nikaonyeshwa bank statement ya ofisi! Dating is as complicated as a phd!

I-20 na bank statements wapi na wapi bana? I-20 huwezi kughushi zile bana.
 
Hahahaa unaniangusha na wewe...

Kwani hazitoshi kununua apartment masaki au o'bey? (kwa kianzio tu)

Wallah! Kama nini basi japo Sea View au Mikocheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…