Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,606
- 1,711
- Thread starter
- #21
Nakubaliana na wewe kuwa pesa muhimu sana hasa kwa mwanamme kuwa nazo...na ile "kutosha" iwe kwa kiwango cha mwanamke
acha mambo ya ulinganifu (relativity) wewe, pesa ni pesa tu na hakuna mwanamke atakayesema eti pesa zimetosha hivyo dawa ni kuwa nazo nyingi ili penzi liendesheke: malazi, mavazi, maakuli, matibabu, matembezi, masomo n.k.