Myelife
Senior Member
- Dec 31, 2011
- 164
- 107
Wanajamvi salaam.
Nimeona kama kuna uwezekano wa kuunganisha mawazo, na rasilimali na kuwa na kiwanda kidogo ambacho kitakuwa kikimilikiwa na watz kama 10, bila kuzidi.
kuna msingi ninao na ninaufanya mtaji tena mkubwa, mimi ni mshauri wa viwanda vingi hapa nchini. na pia nimeshiriki sana katika kuanzisha viwanda vingi. na mwisho nk uelewa mpana sana wa kusimamia kiwanda kutoka raw material mpaka finished product.
kuna sector kama 4 tunaweza kuwekeza.
mtaji utakuwa kama milion 40 kwa kuanzia,
mtaji sio lazima uwe cash na wala sio lazima uwe invested siku 1.
sio lazima wanahisa wote washiriki katika uanzishwaji wengine wanaweza kuwa na ushiriki mkubwa na wengine mdogo kwani wanahisa watakuwa na majukum mbadala, uwezo tofauti, tasnia tofauti na hata umbali kijiografia.
angalizo.
pesa sio kila kitu.
pesa sio mtaji au kichocheo number moja ktk kuanzisha biashara..
waafrika huanzisha biashara kwa pamoja wakiwa kama wanahisa lakini hugombana na kila mtu kuchukua chake mradi unapoanza kutengeneza faida.
mradi unaweza kutembea ku muda flani huku ukiitaji fund kutoka kwa wanahisa kabla hujaanza kujiendesha wenyewe.
kuna mlolongo wa kodi hivo kupata unafuu ni lazima kuanza kwa mwavuli wa veta na sio shirikisho la wenye viwanda nchini.
dsm ndiyo eneo lenye gharama ndogo za uendeshaji wa kiwanda kuliko sehem yeyote nchini.
hili ni jambo la muda na maandalizi na sio la siku moja.
waafrika ni adimu kuwekeza ktk long range investment hivo ni lazima tuwe na malengo ya muda mrefu na sio ya muda mfupi ndiyo maana viwanda vingi ni vya watu wa asili ya nje ya bara la africa.
namaanisha tupande nazi kwa wingi kuliko nyanya japo vyote tunavihitaji
mwanzo wa kutoa hoja