Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Hawa watu wanaofanya kazi katika hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao.
Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana.
Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli unavibari Vyote, ila lazima waombe Pesa, tena wanapanga kiasi wanachotaka wao.
Jana nilienda kwenye msiba wa Polisi mstaafu alikuwa Trafic kufika hapo kwake. Nilijiuliza maswali mengi sana zile pesa, wanazochukua barabarani wanapeleka wapi.
Kila sekunde inayokatika wanachukua Pesa, muda huu nachukua Pesa.(POLISI/TRAFIC & TRA.