Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari kama kawaida ya serikali ya kifisadi.

Sehemu rahisi ya kuiba ni hii kwa kuagiza magari ya milioni 300 mpaka milioni 500 na madalali ambao ni viongozi wanapata magari na 10%.

Hakuna pesa hapa itaenda kwenye miradi ya maendeleo kama maji, barabara za mijini au kulipa madeni.

Mama yetu Samia ambaye anapenda vitu vya bei za juu juu hajali mambo mengine kwa sasa zaidi ya kutanua
 
Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari kama kawaida ya serikali ya kifisadi.

Hakuna pesa hapa itaenda kwenye miradi ya maendeleo kama maji, barabara za mijini au kulipa madeni.
Niliwahi kukushauri be positive with optimism than being negative and pessimist kumhusu huyu Mtu wetu.
P
 
100% itakuwa na matumizi ya hovyo pamoja na 20% za kutosha sana! Ila kama bado zipo
 
Mama yetu Samia ambaye anapenda vitu vya bei za juu juu hajali mambo mengine kwa sasa zaidi ya kutanua
Hapo kwenye kutanua ungeweka vizuri mkuu kutanua nini tueleze vizuri anachokitanua tafadhari na sisi tujue kwamba hua anatanua nini tunajua yupo Dubei anapanda miti kwenye Jangwa suala la kutanua hilo hatujalielewa vizuri anatanua?
 
Dada yetu mpendwa Rachel Dangwa angekuwa humu angetoa jibu mujarab ya nini kinatanuliwa huko.
 
Back
Top Bottom