Niliwahi kukushauri be positive with optimism than being negative and pessimist kumhusu huyu Mtu wetu.Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari kama kawaida ya serikali ya kifisadi.
Hakuna pesa hapa itaenda kwenye miradi ya maendeleo kama maji, barabara za mijini au kulipa madeni.
Hapo kwenye kutanua ungeweka vizuri mkuu kutanua nini tueleze vizuri anachokitanua tafadhari na sisi tujue kwamba hua anatanua nini tunajua yupo Dubei anapanda miti kwenye Jangwa suala la kutanua hilo hatujalielewa vizuri anatanua?Mama yetu Samia ambaye anapenda vitu vya bei za juu juu hajali mambo mengine kwa sasa zaidi ya kutanua
Hicho ndio kipaumbele namba 2.Bila kusahau kuijenga Zanzibar
Dada yetu mpendwa Rachel Dangwa angekuwa humu angetoa jibu mujarab ya nini kinatanuliwa huko.Hapo kwenye kutanua ungeweka vizuri mkuu kutanua nini tueleze vizuri anachokitanua tafadhari na sisi tujue kwamba hua anatanua nini tunajua yupo Dubei anapanda miti kwenye Jangwa suala la kutanua hilo hatujalielewa vizuri anatanua?