Pesa ya Kijerumani 5 Heller 1909 J Deutschland, Deutsch-Ostafrika Course coin

FikraNdefu

Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
17
Reaction score
6
Habari ya Asubuhi wana jamvi,

kilimo ndo ajira nilijichagulia sasa nikiwa shambani nalima nimeokota iyo pesa hapo juu wadau nikiwauliza wanasema umasikini ndo nshauaga sasa sielewi naipeleka wapi maana nimekuja mjini na matapeli ni wengi.

Naomba nijulishwe thamani ya iyo pesa ya mkoloni Kwa miaka hii , na je Kama kuna mtu kashawai kuiuza au anajua sehemu wanayonunua anieleze,

Nawasilisha.
 
Haina soko wasikudanganye Mimi ninayo ya 1907. Hutafutwa NA watalii wa kijerumani wakauze kwenye makumbusho yao watafute hao epuka wajanja .
 
nini hiki sasa?
 
Wabantu bana, yani unaona tamaduni za wageni ndio ustaarabu wakati tulikua na tamaduni zetu. Hao waarabu na wazungu walituletea majanga tu. Chuki zako kwa Baba wa taifa zitakupa ugonjwa wa moyo wewe binafsi.
 
JIBU ALICHOULIZA.. ACHA KUCHOMEKA
 
Kwel we Mcahro,,tumemilikishwa vitu tusivyovijua halaf tunajivunia,,kwel utumwa wa kiakil unatumaliza
 
Wabantu bana, yani unaona tamaduni za wageni ndio ustaarabu wakati tulikua na tamaduni zetu. Hao waarabu na wazungu walituletea majanga tu. Chuki zako kwa Baba wa taifa zitakupa ugonjwa wa moyo wewe binafsi.
AMUN RA
 
Zipige picha wewe hizo coin ulizo nazo, sio za ku download
 
Zipige picha wewe hizo coin ulizo nazo, sio za ku download

Kuwa makini, ni wapigaji hao kama anazo hizo fedha kweli ameshindwa kuzipiga picha halisi mpaka aende kwenye mitandano kudownload, ne careful ISIS
 
Kuwa makini, ni wapigaji hao kama anazo hizo fedha kweli ameshindwa kuzipiga picha halisi mpaka aende kwenye mitandano kudownload, ne careful ISIS
Yop! Nimempata sana ndiyo maana nikampa homework, matapeli walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…