Pesa ya Kijerumani 5 Heller 1909 J Deutschland, Deutsch-Ostafrika Course coin

Pesa ya Kijerumani 5 Heller 1909 J Deutschland, Deutsch-Ostafrika Course coin

Asante sana kwa kunijali!

Unajua wanachokifanya hao?, mara nyingi huyo akishafanya hivyo atatokea mwingine au yeye mwenyewe kwa ID nyingine na atasema anaitafuta hiyo pesa kwa bei ya juu, so wewe unaweza kukurupuka na kwenda kuinunua hiyo pesa ili ukaiuze kwa bei ya juu, hapo ndipo utakapopigwa, wizi wa kizamani sana huo, Sema kila siku kuna wajinga wapya hivyo watu wanapigwa tu
 
Mwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
Ata mm namchukia sana nyerere kwasababu tungekuwa safi kama somalia sudani Yemen syria iraq libya nk
 
Hapo ndo nimeelewa sasa, kumbe neno hela limetokana na hiyo sarafu hapo
 
Unajua wanachokifanya hao?, mara nyingi huyo akishafanya hivyo atatokea mwingine au yeye mwenyewe kwa ID nyingine na atasema anaitafuta hiyo pesa kwa bei ya juu, so wewe unaweza kukurupuka na kwenda kuinunua hiyo pesa ili ukaiuze kwa bei ya juu, hapo ndipo utakapopigwa, wizi wa kizamani sana huo, Sema kila siku kuna wajinga wapya hivyo watu wanapigwa tu
Wajinga wapya hahahaha, hiyo kali!
 
Mwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
Mbona tungeangamia wote kama nchi za kiarabu wanavyo uana... balaa tupu! Bora wengine hatukuzaliwa katika uislamu unaosifia wakati hauna amani wala ustaarabu.

Kizuri kinajiuza wala huna haja kutangaza! Leo hii uislamu unatangazwa dini ya amani na ustaarabu lakini matendo yanadhihirisha sivyo.
 
Mwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
Mkuu mbona ali kiba ana lashings zote mnazosema
 
Itoboe kisha ivae kama kidani.
Pesa inayo tafutwa na watu siyo hiyo. Na hata ukizipata nyingi zinakua zishatumika kufanyia matambiko mbali mbali.
 
Ule wa kuhusu Nyerere alivo zingua na kutanguliza mbele u RC akijidanganya kuwa Uislamu utakufa. Kumbe Ng'oooo!!!
Padri mcharo, are you really ok? Maana naona una ID nyingi, mimi ISIS sijaanzisha uzi kama huo na huwa ni mwiko kwangu kuangamiza imani ya mtu! Uhai wa binadamu ni Utukufu wa Mwenye Enzi Mungu!
 
Padri mcharo, are you really ok? Maana naona una ID nyingi, mimi ISIS sijaanzisha uzi kama huo na huwa ni mwiko kwangu kuangamiza imani ya mtu! Uhai wa binadamu ni Utukufu wa Mwenye Enzi Mungu!

Achana nae, ni mtambo huo, yeye kila dakika ni kuongea mambo ya dini tu, nakuja PM
 
Wabantu bana, yani unaona tamaduni za wageni ndio ustaarabu wakati tulikua na tamaduni zetu. Hao waarabu na wazungu walituletea majanga tu. Chuki zako kwa Baba wa taifa zitakupa ugonjwa wa moyo wewe binafsi.
Sasa wewe unafuata tamaduni? Au mwenzangu unavaa majani ya mgomba?
 
Mwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
La pombe na uzinzi hapana. Nenda Misri. Nenda Saudia. Nenda Pemba. Utayakuta yote hayo KWA KIFICHO.
 
Mwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
Ndiyo kipindi kabla yake Waarabu walipokuja kuuza watu kama mapapai na kuwahasi wanaume waliotaka wakawafanyie kazi za ndani kwa kuwavunja korodani kwa mawe.

Ndiyo kipindi Waarabu walipoongoza misafara ya watumwa umbali mrefu na watumwa waliochoka Wakawaua au kuwatelekeza porini na pia waliposhikwa na hamu waliwageuza wanawake kwa KUWAFANYIA LIWATI(WALIWAF....R.),kiasi huu mchezo umeenea Pwani ya Afrika Mash..na Oman walikopelekwa hawa Watumwa kiasi mpk leo Sultan wao anaishi na Was...ng kutoka huku.

Ndiyo kipindi walipoiba PEMBE ZA NDOVU
 
Mkuu, hebu ingia JF intelligence kule, Kuna Uzi mzuri Sana unazungumzia haya mambo ya sarufu/rupia ya mjerumani.
 
Et nch zma wangekuwa waislam hakuna pombe.uzinz ila kuowa wanawake 4 kungekuwapo huu huon ni uzinz .na vita ingekuwa n lazma kati ya washia na suni dini zngne majanga
 
Back
Top Bottom