theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Asante sana kwa kunijali!
Ata mm namchukia sana nyerere kwasababu tungekuwa safi kama somalia sudani Yemen syria iraq libya nkMwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
Wajinga wapya hahahaha, hiyo kali!Unajua wanachokifanya hao?, mara nyingi huyo akishafanya hivyo atatokea mwingine au yeye mwenyewe kwa ID nyingine na atasema anaitafuta hiyo pesa kwa bei ya juu, so wewe unaweza kukurupuka na kwenda kuinunua hiyo pesa ili ukaiuze kwa bei ya juu, hapo ndipo utakapopigwa, wizi wa kizamani sana huo, Sema kila siku kuna wajinga wapya hivyo watu wanapigwa tu
Hahahaha bwahaha haki ya Mola wangu!Ata mm namchukia sana nyerere kwasababu tungekuwa safi kama somalia sudani Yemen syria iraq libya nk
Wajinga wapya hahahaha, hiyo kali!
Mbona tungeangamia wote kama nchi za kiarabu wanavyo uana... balaa tupu! Bora wengine hatukuzaliwa katika uislamu unaosifia wakati hauna amani wala ustaarabu.Mwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
Mkuu mbona ali kiba ana lashings zote mnazosemaMwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
Upi tena ndugu yangu?Mlishemsha kufungua ule uzi?, au bado hujaingia chimbo kujiupdate?
Padri mcharo, are you really ok? Maana naona una ID nyingi, mimi ISIS sijaanzisha uzi kama huo na huwa ni mwiko kwangu kuangamiza imani ya mtu! Uhai wa binadamu ni Utukufu wa Mwenye Enzi Mungu!Ule wa kuhusu Nyerere alivo zingua na kutanguliza mbele u RC akijidanganya kuwa Uislamu utakufa. Kumbe Ng'oooo!!!
Padri mcharo, are you really ok? Maana naona una ID nyingi, mimi ISIS sijaanzisha uzi kama huo na huwa ni mwiko kwangu kuangamiza imani ya mtu! Uhai wa binadamu ni Utukufu wa Mwenye Enzi Mungu!
Sasa wewe unafuata tamaduni? Au mwenzangu unavaa majani ya mgomba?Wabantu bana, yani unaona tamaduni za wageni ndio ustaarabu wakati tulikua na tamaduni zetu. Hao waarabu na wazungu walituletea majanga tu. Chuki zako kwa Baba wa taifa zitakupa ugonjwa wa moyo wewe binafsi.
La pombe na uzinzi hapana. Nenda Misri. Nenda Saudia. Nenda Pemba. Utayakuta yote hayo KWA KIFICHO.Mwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
Duh! I guess so!Achana nae, ni mtambo huo, yeye kila dakika ni kuongea mambo ya dini tu, nakuja PM
Ndiyo kipindi kabla yake Waarabu walipokuja kuuza watu kama mapapai na kuwahasi wanaume waliotaka wakawafanyie kazi za ndani kwa kuwavunja korodani kwa mawe.Mwaka 1909.....
Aaaah baba, wana history wanakuambia miaka hiyo Uislamu ndio ulikua umetawala katika kanda ya pwani iliyo staarabika.
Kabla ya Baba wa Taifa kuja kuharibu staarabu za watu na kutanguliza u RC mbele.
Leo hii TZ nzima tungelikua Waislamu.
Maisha yangelikua Saaafi.
Hakuna pombe, hakuna uzinzi.
Subhanallah
Yeah navaa majani ya mgomba,Sasa wewe unafuata tamaduni? Au mwenzangu unavaa majani ya mgomba?