Pesa ya Kombe la Dunia Qatar

Pesa ya Kombe la Dunia Qatar

mcshonde

Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
66
Reaction score
154
Pesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) • Quarter-Finals - USD $17m (39.7b tsh) • Round of 16 - USD $13m (30.3b tsh).

Unashabikia timu gani na umejipangaje kuangalia mpira huku ukipiga pesa?
 
Dah kumbe kuna mihela mingi namna hii. Ah wache federation za wenzetu zikomae tuu sie tuendelee kudanganyana na pira biriani, wacha boli litembee 🤣🤣🤣🤣
 
Senegal wana timu nzuri tatizo lao hawa striker wa ukweli. Ata kwenye afcon hilo lilikuwa tatizo wanamtegemea mane tuu.
Midfield yao nzuri tuu defense ya ukweli mbele ndio ishu ilipo magoli watayatolea wapi
Arsenal hawana striker mzuri na wanafunga magoli. Kuwepo kwa mane na wale winger wengine kutazalisha magoli mengi.
 
Gabriel Jesus hafungi sana, ana goli 5 kwa mechi 13 lakini winger na midfielders wana magoli mengi zaidi. Mimi ninaamini Senegal wakikaa vizuri na kujiamini wanaweza kufika mbali.
Aya bwana mbona kesho kutwa tuu hapo tutaona mambo.
Kwanza nasiia waziri wa michezo katoa usd mil 21 kama budget ya timu world cup. Sikilizia huo msafara wa wanasiasa alafu bonus kwa wacbezaji itakuwa matatizo
 
Pesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) • Quarter-Finals - USD $17m (39.7b tsh) • Round of 16 - USD $13m (30.3b tsh).

Unashabikia timu gani na umejipangaje kuangalia mpira huku ukipiga pesa?
Mshirik hapewi chochote mkuu ??
 
Argentina
 
Back
Top Bottom