Hamna ata timu moja ya africa itafika robo fainaliArgentina bingwa, Senegal atafika nusu fainali.
Dah kumbe kuna mihela mingi namna hii. Ah wache federation za wenzetu zikomae tuu sie tuendelee kudanganyana na pira biriani, wacha boli litembee 🤣🤣🤣🤣Pesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) • Quarter-Finals - USD $17m (39.7b tsh) • Round of 16 - USD $13m (30.3b tsh).
Unashabikia timu gani na umejipangaje kuangalia mpira huku ukipiga pesa?
Basi haujawahi kuwaona Senegal wakicheza.Hamna ata timu moja ya africa itafika robo fainali
Senegal wana timu nzuri tatizo lao hawa striker wa ukweli. Ata kwenye afcon hilo lilikuwa tatizo wanamtegemea mane tuu.Basi haujawahi kuwaona Senegal wakicheza.
Labda lile la kunywea maji.Hivi kuna Nchi ya kiafrika ilishawahi kuchukua hili kombe??
Arsenal hawana striker mzuri na wanafunga magoli. Kuwepo kwa mane na wale winger wengine kutazalisha magoli mengi.Senegal wana timu nzuri tatizo lao hawa striker wa ukweli. Ata kwenye afcon hilo lilikuwa tatizo wanamtegemea mane tuu.
Midfield yao nzuri tuu defense ya ukweli mbele ndio ishu ilipo magoli watayatolea wapi
Arsenal sii wana bwana yesu pale mbele.Arsenal hawana striker mzuri na wanafunga magoli. Kuwepo kwa mane na wale winger wengine kutazalisha magoli mengi.
Gabriel Jesus hafungi sana, ana goli 5 kwa mechi 13 lakini winger na midfielders wana magoli mengi zaidi. Mimi ninaamini Senegal wakikaa vizuri na kujiamini wanaweza kufika mbali.Arsenal sii wana bwana yesu pale mbele.
Wacha tuone labda sarr, mane mendy konate walete magoli
Aya bwana mbona kesho kutwa tuu hapo tutaona mambo.Gabriel Jesus hafungi sana, ana goli 5 kwa mechi 13 lakini winger na midfielders wana magoli mengi zaidi. Mimi ninaamini Senegal wakikaa vizuri na kujiamini wanaweza kufika mbali.
Mshirik hapewi chochote mkuu ??Pesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) • Quarter-Finals - USD $17m (39.7b tsh) • Round of 16 - USD $13m (30.3b tsh).
Unashabikia timu gani na umejipangaje kuangalia mpira huku ukipiga pesa?
ArgentinaPesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) • Quarter-Finals - USD $17m (39.7b tsh) • Round of 16 - USD $13m (30.3b tsh).
Unashabikia timu gani na umejipangaje kuangalia mpira huku ukipiga pesa?