Pesa ya Kombe la Dunia Qatar

Hivi kuna Nchi ya kiafrika ilishawahi kuchukua hili kombe??
🤣🤣🤣🤣🤣 Pamoja na waganga wao wote waliojaa barani africa nusu final tuu hamna kitu.
Hilo kombe ni la sout america na ulaya tuu mpaka pale yesu atakapo rudi
 
Portugal,Brazil na the orange (dutch) African naitakia Senegal mafanikio
 
Morocco anaweza kuwa bingwa,muda haudanganyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…