ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
nenda maduka ya posta kule kuna maduka ambayo wanachenjisha hizo hela au ikiwezekana ingia benki waombe kubadilisha hizo hela
Habari zenu wadau
Nina pesa ya Korea kusini nataka niibadili katika shilingi,duka gani hapa dar naweza kupata chenji,maana nimejaribu airport nimekosa.