ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Apr 3, 2014 #21 nenda maduka ya posta kule kuna maduka ambayo wanachenjisha hizo hela au ikiwezekana ingia benki waombe kubadilisha hizo hela Don Kamanga said: Habari zenu wadau Nina pesa ya Korea kusini nataka niibadili katika shilingi,duka gani hapa dar naweza kupata chenji,maana nimejaribu airport nimekosa. Click to expand...
nenda maduka ya posta kule kuna maduka ambayo wanachenjisha hizo hela au ikiwezekana ingia benki waombe kubadilisha hizo hela Don Kamanga said: Habari zenu wadau Nina pesa ya Korea kusini nataka niibadili katika shilingi,duka gani hapa dar naweza kupata chenji,maana nimejaribu airport nimekosa. Click to expand...