Pesa ya kufungua kesi na matangazo, mahakama za liwali

Pesa ya kufungua kesi na matangazo, mahakama za liwali

Makene

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,475
Reaction score
282
Wadau naomba kujuzwa, hivi hii pesa inayoombwa na makarani mahakama za mwanzo unapoenda kufungua kesi ya mirathi ni rushwa au ni wizi.
Tatizo ni kwamba pesa hiyo inayolipwa haitolewi stakabadhi ya serikari wala aina nyingine ya stakabadhi.
Kama pesa hii ni tozo halali kwanini isiwe rasmi na iratibiwe.
Swali lingine la kujiuliza ni je mahakimu wanajua ya kwamba wateja wao wanaombwa wafanye malipo hayo yasiyotolewa stakabadhi. Na kama wanajua je wao ni wahusika wa huo utapeli/wizi wa kuaminika au wa lazima?
 
mahakimu njooni humu mtupe ufafanuzi wa hili
 
Back
Top Bottom