Pesa ya masishi yangu

Pesa ya masishi yangu

bigmen

Senior Member
Joined
Jul 3, 2020
Posts
147
Reaction score
325
Sio mapenzi sio pesa vyote hivi vinanisumbua akili yangu, ila kwa suala la pesa nazani limefika mwisho wa kusumbua akili yangu..

Maana kwa jinsi hali ilivo ngumu nimeongea na ndugu zangu wanipatie pesa za mazishi yangu nitumie, halafu nikifa nitajua mwenyewe cha kufanya.😆😆😆
 
Sio mapenzi sio pesa vyote hivi vinanisumbua akili yangu, ila kwa suala la pesa nazani limefika mwisho wa kusumbua akili yangu..

Maana kwa jinsi hali ilivo ngumu nimeongea na ndugu zangu wanipatie pesa za mazishi yangu nitumie, halafu nikifa nitajua mwenyewe cha kufanya.[emoji38][emoji38][emoji38]
Nani alikuambia tutatumia pesa kukuzika?. Kwa jinsi ulivyo hasara kwa familia na ukoo sisi ndugu zako zako tumeamua kuwa ukifa tunakutupa kwenye zizi la nguruwe wale minofu yako. Mifupa itakayobaki tunatupia mbwa biashara yako na sisi inaishia hapo. Hiyo ndiyo habari.
 
Back
Top Bottom