Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Hata siku moja usitegemee wala kutarajia hela kutoka kwa mpenzi wako, iwe ni kuomba au kumkopa, na ieleweke ya kwamba hapa nazilenga jinsia zote mbili.
Zingatio zaidi kwa upande wa mwanaume, jiepushe kujenga mahusiano na broke woman kwa sababu atakua liability kwako.
Binafsi nikiwa katika mahusiano na mwanamke yoyote siwezi kumuomba hela, kumkopa, kujihusisha kwa namna yoyote na hela yake au kuruhusu anilipie bill zangu.
Nataka abaki na hela zake kwa ajiri ya matumizi yake ili aweze kujihudumia yeye mwenyewe mahitaji yake na kupanga bajeti ya mipango yake bila kuingiliwa na chochote.
Hivyo hivyo kwake pia, na yeye asitarajie kupata gawio lolote kutoka kwenye hela yangu.
Najipa kipaumbele mimi mwenyewe, lengo ni kupiga vita umasikini, sio kujirudisha nyuma kimaendeleo ili nipate sifa za kijinga chini ya msemo wa kipumbavu eti "mwanamke anahitaji matunzo"
Sitaki ukaribu wowote na mwanamke ambae anaitaka hela yangu kwa sababu uyo mwanamke ni mwizi na kikwazo katika kutimiza lengo langu. Kwanza kwanini nimuhudumie girlfriend.!, hana ndugu, ni mtoto yatima au mlemavu asieweza kufanya kazi?
Kusaidiana kupo lakini iwe mutualy sio kanuni ya kwamba ni lazima mwanaume awe mtoaji na mwanamke awe mpokeaji, na kwenye kusaidiana uko kila mmoja amsaidie mwenzake kwa terms atakazoona zinafaa sio kuwekeana sharti la lazima.
Katika mahusiano ya boyfriend and girlfriend hakuna mwenye jukumu la kumuhudumia mwenzake.