neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 727
- 2,421
Hapo namba moja mitume hawakuwahi fundisha hayo mafundisho. Zaka iko kidini sanaHabari wakuu watumishi wengi wanalalamika kuwa mshahara hautoshi! Ukiona umeajiriwa iwe sekta binafsi au serikali na mshahara wako hautoshi namanisha take home kuanzia 150k na kuendelea ujue kuwa sababu kuu ni haya maeneo matatu
1: HUTOI FUNGU LA KUMI ( 10% OF YOUR BASIC SALARY) : maisha yapo kiroho zaidi kuliko wengi wanavyojua! Kama mtu hatoi fungu la kumi lazima pesa zitaibiwa kwa njia ambayo ni vigumu kujua ( magonjwa, ajali, matatizo ya ndugu nk,) ulipasawa utoe 10% pekee yake utajikuta unatumia zaidi ya 20% ya mshahara wako kwa matumizi ambayo hukuyatarajia
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Malaki 3:10
2: UZINZI NA UASHERATI : Ukiwa wewe ni mpenda wanawake na dhambi hii mbaya unayo hutulii na familia yako sahau mshahara wako kukutosha maana Mungu anakupa mshahara wako wewe na familia yako nje ya hapo unatawanya pesa sehemu ambapo hazikutakiwa kwenda! Na zaidi ya hapo ukiwa wewe ni mzinzi au mwasherati huna akili hivyo huwezi kuwa na akili ya kumanage pesa zako
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mithali 6:32
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Mithali 6:26
3: ULEVI : kama wewe ni mlevi hakuna siku mshahara utakutosha hata siku moja!
Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.
Mithali 23:21
Note: hivyo vyitu vitatu ukiepukana navyo huwezi kukaa unalia lia mshahara haukotoshi
Acha Ukorofi😂😂😂Kwanza hebu tuweke sawa anayelipa mshahara ni Mungu au Mwajiri?
Hilo fungu la 10 anakula nani??Habari wakuu watumishi wengi wanalalamika kuwa mshahara hautoshi! Ukiona umeajiriwa iwe sekta binafsi au serikali na mshahara wako hautoshi namanisha take home kuanzia 150k na kuendelea ujue kuwa sababu kuu ni haya maeneo matatu
1: HUTOI FUNGU LA KUMI ( 10% OF YOUR BASIC SALARY) : maisha yapo kiroho zaidi kuliko wengi wanavyojua! Kama mtu hatoi fungu la kumi lazima pesa zitaibiwa kwa njia ambayo ni vigumu kujua ( magonjwa, ajali, matatizo ya ndugu nk,) ulipasawa utoe 10% pekee yake utajikuta unatumia zaidi ya 20% ya mshahara wako kwa matumizi ambayo hukuyatarajia
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Malaki 3:10
2: UZINZI NA UASHERATI : Ukiwa wewe ni mpenda wanawake na dhambi hii mbaya unayo hutulii na familia yako sahau mshahara wako kukutosha maana Mungu anakupa mshahara wako wewe na familia yako nje ya hapo unatawanya pesa sehemu ambapo hazikutakiwa kwenda! Na zaidi ya hapo ukiwa wewe ni mzinzi au mwasherati huna akili hivyo huwezi kuwa na akili ya kumanage pesa zako
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mithali 6:32
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Mithali 6:26
3: ULEVI : kama wewe ni mlevi hakuna siku mshahara utakutosha hata siku moja!
Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.
Mithali 23:21
Note: hivyo vyitu vitatu ukiepukana navyo huwezi kukaa unalia lia mshahara haukotoshi
Maana mwandishi Kuna sehemu amesema Mungu anakulipa mshahara unaokutosha wewe na familia yako!!!!?Acha Ukorofi😂😂😂
Kama Huwaamini watumishi,toa hata Sadaka kwa watu wenye changamoto na uamini tu ulichotoa kitaludi zaidiMaana mwandishi Kuna sehemu amesema Mungu anakulipa mshahara unaokutosha wewe na familia yako!!!!?
Sijaona hoja ya maana, zaidi ya conspiracy theories
Sure ipo sahihi.100%Habari wakuu watumishi wengi wanalalamika kuwa mshahara hautoshi! Ukiona umeajiriwa iwe sekta binafsi au serikali na mshahara wako hautoshi namanisha take home kuanzia 150k na kuendelea ujue kuwa sababu kuu ni haya maeneo matatu
1: HUTOI FUNGU LA KUMI ( 10% OF YOUR BASIC SALARY) : maisha yapo kiroho zaidi kuliko wengi wanavyojua! Kama mtu hatoi fungu la kumi lazima pesa zitaibiwa kwa njia ambayo ni vigumu kujua ( magonjwa, ajali, matatizo ya ndugu nk,) ulipasawa utoe 10% pekee yake utajikuta unatumia zaidi ya 20% ya mshahara wako kwa matumizi ambayo hukuyatarajia
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Malaki 3:10
2: UZINZI NA UASHERATI : Ukiwa wewe ni mpenda wanawake na dhambi hii mbaya unayo hutulii na familia yako sahau mshahara wako kukutosha maana Mungu anakupa mshahara wako wewe na familia yako nje ya hapo unatawanya pesa sehemu ambapo hazikutakiwa kwenda! Na zaidi ya hapo ukiwa wewe ni mzinzi au mwasherati huna akili hivyo huwezi kuwa na akili ya kumanage pesa zako
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mithali 6:32
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Mithali 6:26
3: ULEVI : kama wewe ni mlevi hakuna siku mshahara utakutosha hata siku moja!
Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.
Mithali 23:21
Note: hivyo vyitu vitatu ukiepukana navyo huwezi kukaa unalia lia mshahara haukotoshi
Yaani pesa haitoshi na bado utoe fungu la kumi?Habari wakuu watumishi wengi wanalalamika kuwa mshahara hautoshi! Ukiona umeajiriwa iwe sekta binafsi au serikali na mshahara wako hautoshi namanisha take home kuanzia 150k na kuendelea ujue kuwa sababu kuu ni haya maeneo matatu
1: HUTOI FUNGU LA KUMI ( 10% OF YOUR BASIC SALARY) : maisha yapo kiroho zaidi kuliko wengi wanavyojua! Kama mtu hatoi fungu la kumi lazima pesa zitaibiwa kwa njia ambayo ni vigumu kujua ( magonjwa, ajali, matatizo ya ndugu nk,) ulipasawa utoe 10% pekee yake utajikuta unatumia zaidi ya 20% ya mshahara wako kwa matumizi ambayo hukuyatarajia
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Malaki 3:10
2: UZINZI NA UASHERATI : Ukiwa wewe ni mpenda wanawake na dhambi hii mbaya unayo hutulii na familia yako sahau mshahara wako kukutosha maana Mungu anakupa mshahara wako wewe na familia yako nje ya hapo unatawanya pesa sehemu ambapo hazikutakiwa kwenda! Na zaidi ya hapo ukiwa wewe ni mzinzi au mwasherati huna akili hivyo huwezi kuwa na akili ya kumanage pesa zako
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mithali 6:32
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Mithali 6:26
3: ULEVI : kama wewe ni mlevi hakuna siku mshahara utakutosha hata siku moja!
Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.
Mithali 23:21
Note: hivyo vyitu vitatu ukiepukana navyo huwezi kukaa unalia lia mshahara haukotoshi
biashara inalipa kuliko viwanda na magodown yote ya bakressaMchungaji unataka ufungue kanisa wapi, maana biashara ya dini imeanza kushamili kila kona kama library.
Yeye anapokea 😂Mwamposa anatoa fungu la kumi wapi?