Pesa ya special faculty kwenye mkopo inahusiana na nini?

Pesa ya special faculty kwenye mkopo inahusiana na nini?

hapo udsm unasoma nn? Kuna koz zingne hazn Sf req.

ninasomea akiolojia..archaeology. Wamenipa 43000 special facult..sasa naona bora tu niile, maana haitoshi.
 
Ningependa kujua hiyo pesa inayotolewa kwenye pesa za mkopo inatumika wapi

Ni kwa ajili ya kuchangia kampuni za Bia na shirika la PSI
 
Back
Top Bottom