Pesa yako kwenye wallet ni kwa ajili gani?

Pesa yako kwenye wallet ni kwa ajili gani?

Numero Uno

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
607
Reaction score
1,302
Pesa yako ya kwenye wallet ina matumizi gani? Je ni pesa yako tu ya akiba umeamua utembee nayo ama ni ya dharura,
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Ila pesa isiyokua na kazi ndiyo hukaa kwenye wallet...
 
Pesa kwenye wallet ni kwa ajili ya kumalizana na wazee wa kubambikia kesi za hovyo! Huwezi kwenda jela kisa umeshindwa kuwapooza wapumbavu laki 2
 
Mim nikiweka ela mfukoni nachanya na simu ooh najikuta zote zilishadodika ndio bila walet sitok
 
Binafsi Sina wallet na sitembei na pesa Kama Sina Mpango wa kununua ama kufanya malipo yoyote.
 
Back
Top Bottom