Kama tulivyoonesha dunia kwamba hatuna corona na hata mikutano ya kampeni inajaa na hatusikia watu kuanguka kwa corona labda kwa joto kali, sasa ni kipi kilichoshindikana kusema hizo pesa hatuzitaki ziende labda Kenya ambako bado tatizo liko.Japo umeandika haraka haraka sana ila nimevumulia kusoma, sasa koo limenikauka acha ninywe maji kidogo.
Tanzania tumepewa bilioni 70 na bila aibu tumepokea, kwa corona ipi!
Mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23], naomba nicheke kwanza.Kama tulivyoonesha dunia kwamba hatuna corona na hata mikutano ya kampeni inajaa na hatusikia watu kuanguka kwa corona labda kwa joto kali,sasa ni kipi kilichoshindikana kusema hizo pesa hatuzitaki ziende labda Kenya ambako bado tatizo liko.
Pesa hizo za nn wakati corona tz ishamalizwaJapo umeandika haraka haraka sana ila nimevumulia kusoma, sasa koo limenikauka acha ninywe maji kidogo.
Tanzania tumepewa bilioni 70 na bila aibu tumepokea, kwa corona ipi!!
Pesa hizo za nn wakati corona tz ishamalizwa
Imefutika mkuu
stroke
jingalao
Magonjwa Mtambuka
Kawe Alumni
Ova
Aisee, hivi sisi si tulimlilia Mungu na corona ikaondoka jamani! corona ipi tena tunayoenda kupambana nayo?Japo umeandika haraka haraka sana ila nimevumulia kusoma, sasa koo limenikauka acha ninywe maji kidogo.
Tanzania tumepewa bilioni 70 na bila aibu tumepokea, kwa corona ipi!!
Kwani ukipokea fedha ya CORONA lazima uitumie kupambana na CORONA?? Akili kichwani, inakuja ya Corona sie tunatupia kwenye SGR, Inakuja ya ZIKA tunatupia kwenye Bwawa la Nyerere wakija kustuka na sie tunamiliki treni ya Umeme. Mabeberu Wananuuuuuuuuna na Vibaraka wao wao Wanabweeeeeeeeeeka! Jiwe gizaniTayari kuna fedha nyingine zinakuja kupambana na corona, wale wale wanaoitwa mabeberu wanatoa fedha kuja hapa hapa nchini na soon mtaona zikipokelewa na mzee baba au muwakilishi wake.
Tumebembelezwa kuitangazia dubia ndugu covid hayupo ila tunapokea fedhaaaa, cha ajabu baada ya kuzipokea zitaenda moja kwa moja kwenye yale mamiradi pendwa.
Aisee, hivi sisi si tulimlilia Mungu na corona ikaondoka jamani! corona ipi tena tunayoenda kupambana nayo?
Mkuu Ulitaka ziende kwenye mikono ya wachache kama walivyofanya Kenya? Jpm ni moja ya viongozi wasiokuwa na umimi,hakika anafaaa sanaTayari kuna fedha nyingine zinakuja kupambana na corona, wale wale wanaoitwa mabeberu wanatoa fedha kuja hapa hapa nchini na soon mtaona zikipokelewa na mzee baba au muwakilishi wake.
Tumebembelezwa kuitangazia dubia ndugu covid hayupo ila tunapokea fedhaaaa, cha ajabu baada ya kuzipokea zitaenda moja kwa moja kwenye yale mamiradi pendwa.
We ukienda hotel unalipiwa tu huogopiTZ haijawaomba msaada wa CORONA, wamejipendekeza wao tu lkn wakiwa na lao jambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hoja yako ina mantiki. Kwa hio mmepokea pesa ya mnaowaita MABEBERU? Na shida ya hawa jamaa mabeberu ukishachukua pesa yap lazima utume taarifa kwao jinsi ilivyosaidia kupambana na corona (ambayo haipo).Japo umeandika haraka haraka sana ila nimevumulia kusoma, sasa koo limenikauka acha ninywe maji kidogo.
Tanzania tumepewa bilioni 70 na bila aibu tumepokea, kwa corona ipi!!
πMkuu Ulitaka ziende kwenye mikono ya wachache kama walivyofanya Kenya? Jpm ni moja ya viongozi wasiokuwa na umimi,hakika anafaaa sana
We ukienda hotel unalipiwa tu
πKwani ukipokea fedha ya CORONA lazima uitumie kupambana na CORONA?? Akili kichwani, inakuja ya Corona sie tunatupia kwenye SGR, Inakuja ya ZIKA tunatupia kwenye Bwawa la Nyerere wakija kustuka na sie tunamiliki treni ya Umeme. Mabeberu Wananuuuuuuuuna na Vibaraka wao wao Wanabweeeeeeeeeeka! Jiwe gizani
We ukienda hotel unalipiwa tu
kuna rafiki angu anafanya kazi bank aliwahi nambia wazungu wanatengeza pesa kulingana na mahitaji yao lakini sisi tunatengeza kulingana na uchumi wetu, means wao wanazo pesa zilizo nje ya system ya uchumi wao zinazowawezesha kutimiza matakwa yaoMkuu, [emoji23][emoji23][emoji23], naomba nicheke kwanza.
Unatakiwa uelewe mzungu hana shida na hela. Ni kama ana hela isiyo isha. Ukijiuliza inatoka wapi hiyo ni topic nyingine ndefu. Ila siku zote mzungu ana shida na man power aka human resource aka utumwa. Na amefanikiwa.