Pesa za field vyuo vikuu zaota mbawa

Pesa za field vyuo vikuu zaota mbawa

Ungarobo

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
18
Reaction score
17
UDSM, DUCE, MUCE, wasainishwa ili wasigome na wameondoka huku wengine wakikwama dar kwa kukosa nauli.Baadhi ya kozi wameanza field leo ila hakuna pesa...poleni sana vijana wetu hii ndio serikali yetu sikivu sijui mtafanyaje field zenu...Mungu awasaidie.
 
Na jana wamewafukuza hostel na campus ili kuua solidarity. Namshukuru mungu nimemaliza udsm ingawa ni kwa mateso sana. Masters sitasoma tanzania kabisa
 
UDSM, DUCE, MUCE, wasainishwa ili wasigome na wameondoka huku wengine wakikwama dar kwa kukosa nauli.Baadhi ya kozi wameanza field leo ila hakuna pesa...poleni sana vijana wetu hii ndio serikali yetu sikivu sijui mtafanyaje field zenu...Mungu awasaidie.
Intarahamwe washaa zibeba si mnajua kumebaki aka moja...
 
kuna baadhi ya vyuo washapata tangu wiki iliyoisha MUST na ARIDH ndo ninauhakika kuwa wameshapata
 
Back
Top Bottom