Pesa za kujikimu kwa walimu wapya

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Wajomba hivi huko halimashauri tutalipwa shilingi ngapi na kwa siku ngapi hiyo pesa ya kujikimu?

vile vile hivi tutachukua mda gani mpaka tuingiw kwenye pay row?
 
Hata hujajua umepangwa wapi unauliza pesa ya kujikimu? Ukiconfirm ulikopangwa ndo uje uulize. Na kama hujapangwa?
 
kaka tuliza kichwa kwanza omba sana mungu upangwe! mwaka jana watu wengi sana walikosa ajira japo walikuwa na sifa zote za kuajiriwa.na mpaka leo hawajapata ajira.subiri kwanza upate hyo ajira ndo uanze kuuliza!
 
Mbona unakuwa na kiherehere kama Mzitto Kabwela?
 
Kwa ss tulioajiriwa mwaka jana' ilikua kama ifuatavyo:
Halmashaur za Majiji na Manispaa n Tsh 65,000 kwa siku 1 na hutolewa pesa ya siku 7 kwa maana 65,000×7. Halafu kwa halmashauri za wilaya n Tsh 45,000 kwa siku 1 vilevile hutolewa kwa siku 7 kwa maana ya 45,000×7.
Kuhusu kuingia Payroll hapo kuna tatatizo sana ila itategemea ushapu wa watendaji wa halmashauri kuingiza taarifa zenu kwenye LOWSON huu mfumo unatuma taarifa kwa mtandao mpaka Ofis ya utumishi wa umma makao makuu then wakishapitia taarifa zako wanazituma hazina kuu' zikifka hazina kuu wao wanakuingiza kweny payrol na utapata cheque no.yako.
ANGALIZO: Mfumo huu wa LOWSON kwa ss wa mwaka jana ulisababisha watu kuingia payrol kwa makundi makundi, wapo waliingia mwez April, wengne Mei, June na wengine walifika mpaka July. Kwa sasa serikali imeeanza kulipa fedha za wale waliochelewa kuingia Payroll tumejikuta tunaingiziwa mshahara double ktk mwez mmoja.
 
kaka tuliza kichwa kwanza omba sana mungu upangwe! mwaka jana watu wengi sana walikosa ajira japo walikuwa na sifa zote za kuajiriwa.na mpaka leo hawajapata ajira.subiri kwanza upate hyo ajira ndo uanze kuuliza!

Kuna baadhi walidisco mwaka wa tatu ndo maana hawajapata. Ila wenye sifa wote walipata kwenye round zote za ajira
 
Inategemea na daraja lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…