M mjogoro JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 882 Reaction score 652 Mar 5, 2022 #41 AliyewafungabSimba ngao ya jamii ndo huyo huyo anawafunga wengine. Kama kununua mechi basi hata Simba walinunuliwa
AliyewafungabSimba ngao ya jamii ndo huyo huyo anawafunga wengine. Kama kununua mechi basi hata Simba walinunuliwa
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 Mar 5, 2022 #42 mjogoro said: Ushindi dhidi ya Simba ktk ngao ya jamii ulinunuliwa? Click to expand... Hakuna Kolo Atakayejibu Hilo Swali [emoji23]
mjogoro said: Ushindi dhidi ya Simba ktk ngao ya jamii ulinunuliwa? Click to expand... Hakuna Kolo Atakayejibu Hilo Swali [emoji23]