Tetesi: Pesa za maandalizi ya sherehe ya kuzaliwa CCM zapigwa na wajanja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Muosha huoshwa , hivyo ndivyo unavyoweza kusema .

Taarifa kutoka lumumba zinadokeza kwamba fungu lililotengwa kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwa ccm , chama kilicholeta kila aina ya dhiki nchini Tanzania hazijulikani ziliko na kuna tetesi kwamba zimepigwa na wajanja .

Hivi sasa juhudi za kusaka vyanzo vipya vya kuwezesha shughuli hiyo zinaendelea , huku kukiwa na juhudi kubwa sana za kuficha taarifa hii , hata hivyo wazalendo wachache waliomo lumumba kwa malengo maalum wamevujisha .

Nakala kwa VUTA NKUVUTE .
 
Mimi ingekua hizo Fedha hazijapigwa ndio ningeshangaa na kujiuliza sana,
Lakini kama zimepigwa hiyo kawaida tu mbona,
 
Jamaa atachota tu toka hazina ili kufanya sherehe nani atamzuia? Miezi michache iliyopita kachota bilioni 2 eti chama cha wahuni kinaidai Serikali wakafanyia mikutano yao pale Dodoma.

Muosha huoshwa , hivyo ndivyo unavyoweza kusema .

Taarifa kutoka lumumba zinadokeza kwamba fungu lililotengwa kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwa ccm , chama kilicholeta kila aina ya dhiki nchini Tanzania hazijulikani ziliko na kuna tetesi kwamba zimepigwa na wajanja .

Hivi sasa juhudi za kusaka vyanzo vipya vya kuwezesha shughuli hiyo zinaendelea , huku kukiwa na juhudi kubwa sana za kuficha taarifa hii , hata hivyo wazalendo wachache waliomo lumumba kwa malengo maalum wamevujisha .

Nakala kwa VUTA NKUVUTE .
 
Jamaa atachota tu toka hazina ili kufanya sherehe nani atamzuia? Miezi michache iliyopita kachota bilioni 2 eti chama cha wahuni kinaidai Serikali wakafanyia mikutano yao pale Dodoma.
Hayo ndio mashaka yangu aisee .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamaa atachota tu toka hazina ili kufanya sherehe nani atamzuia? Miezi michache iliyopita kachota bilioni 2 eti chama cha wahuni kinaidai Serikali wakafanyia mikutano yao pale Dodoma.
Anakuambia eti Chama kimeiuzia Serikali shule yake huko Bukoba, ukienda PPRA hakuna rekodi za hayo manunuzi feki, wala mchakato wa tenda ya kuinunua shule hiyo haujulikani ulianza lini na ukamalizika lini na tenda ilitangazwa wapi
 
Ni wizi mtupu Mkuu halafu kuna MAZWAZWA wanamsifia huyu jamaa!!

Anakuambia eti Chama kimeiuzia Serikali shule yake huko Bukoba, ukienda PPRA hakuna rekodi za hayo manunuzi feki, wala mchakato wa tenda ya kuinunua shule hiyo haujulikani ulianza lini na ukamalizika lini na tenda ilitangazwa wapi
 
Anakuambia eti Chama kimeiuzia Serikali shule yake huko Bukoba, ukienda PPRA hakuna rekodi za hayo manunuzi feki, wala mchakato wa tenda ya kuinunua shule hiyo haujulikani ulianza lini na ukamalizika lini na tenda ilitangazwa wapi
Huko tuendako kuna watu watafungwa bila kujali kinga zao kikatiba .
 
Hazijaendaa Chattle kwenye ule mradi wa mandege ambao bajeti yake haimo hata kwenye fungu la bajeti ya bunge?!!
 
Back
Top Bottom